Ushauri wa kusafiri

  • Marufuku ya kusafiri imekuwa imewekwa kwa ajili ya Waaustralia wote, na tangu Jumatano, Machi 25, 2020
  • Kutoka 9pm jioni AEDT Ijumaa, Machi 20, 2020, raia tu wa Australia, wakaazi na wanafamilia wa karibu wanaweza kusafiri kwenda Australia
  • Wasafiri wote nchini Australia wanatakiwa kujitenga-mwenyewe kwa siku 14

Vikwazo vya kusafiri vinategemeana na kubadilika wakati wowote, kwa hiyo usisafiri ikiwa haifai na kuangalia Sasisho mara kwa mara

Share