Mpango wa makazi ya kibinadamu (HSP) unatoa msaada kwa wakimbizi na watu wanaotafuta hifadhi kuweza kujenga ujuzi na maarifa yanayohitajika ili kuweza kujitegemea na kuwa wanachama hai wa jamii ya Australia.
Wakati wa COVID-19, Tumia nambari za chini za simu ili kuwasiliana na huduma za HSP katika maeneo mbalimbali kwenye NSW.
- Sydney (baada ya masaa ya kazi): 1800 774 142
- Armidale: 0469 791 216
- Coffs Harbour: 0470 337 788
- Newcastle (kwa simu): 0401 515 040